MAFUNDI WA TANESCO IRINGA WAWASHA UMEME WAKATI MWENZAO AKIWA BADO YUKO JUU YA NYAYA NA KUMSABABISHIA KUNASWA....
Fundi
wa Shirika la Umeme Tanesco mkoani Iringa, Selemani Mbuma akiwa
amenaswa na umeme baada ya wenzake kuwasha umeme kimakosa wakati
akiendelea na matengenezo katika eneo la Mlandege mkoani humo.