Baadhi
ya Waombolezaji wakiwa ndani ya Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar
wakati wa kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein,(kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri
Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri
Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa
Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B
Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino
Shao.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein,akitia saini kitabu cha maombolezi ya Padri Evarist Gabriel
Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar,ambapo alifika kutoa
salamu ya mwisho kwa Padri huyo,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu
wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya
ya Kaskazini B Unguja,(kushoto) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Zanzibar Augustino Shao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao wakati alipofika katika Kanisa la Minaramiwili
Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein,akiwasalimia wananchi wakati alipofika katika Kanisa la
Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist
Gabriel Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa
Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B
Unguja.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.