![]() |
Kutokana na utafiti uliofanywa na timu nzima ya www.thechoicetz.com, imebaini wasanii 6 upande wa muziki wa kizazi kipya wanaoheshimika sana Tanzani katika jamii.Vigezo vilivyo zingatiwa katika utafiti huu ni pamoja na kutobaini skendo za ajabu ajabu kwa hawa wasanii,pia hutumiwa katika utoaji nasaa mbalimbali katika jamii pia wanajiheshimu katika mambo yao kwa ujumla. 1.LADY JAY DEE |
Mwanadada JIDE ama binti machozi ameweza kuongelewa sana kama msanii anayeheshimika sana tanzania kutokana na idadi kubwa ya watu walio hojiwa kumtaja yeye kama ndo mwana muziki mwenye kuheshimika sana tanzania kwa upande wa muziki wa kizazi kipya
2.PROF J |
kuwa na sifa mbaya zinazo weza kumchafulia heshima yake
![]() |
3.FID, Q |
![]() |
4.A.Y |
![]() |
5.MWANA FA |
Binamu ama waweza sema pacha wa A.Y kutokana na kuwa na urafiki wa karibu sana na wa muda mrefu na A.Y.mWANA FA pia katajwa kwa idadi kubwa ya wadau kama mtu anayeheshimika sana nchini hasahasa katika nyanja hii ya muziki wa kizazi kipya.
6. JUMA NATURE |
Juma Nature ama kiroboto, ni mtu asiye penda makuu pia kazungumziwa kama mtu anayependa kuona watu wote wakiwa sawa na hapendi kuona manyanyaso kwa watu wengine sababu ya kuto kuwa na uwezo.Wamemtaja kama mtu mwenye nyota ya kupendwa sana na watu kwani yaonyesha anaweza akakaa hata miaka kadhaa bila ya kutoa wimbo wowote ila pindi apandapo tu jukwaani watu hufarijika hata aimbapo nyimbo za zamani.
Imefanyiwa utafiti na kuandaliwa na Timu nzima ya www
Imefanyiwa utafiti na kuandaliwa na Timu nzima ya www