Showing posts with label KITAIFA. Show all posts
Showing posts with label KITAIFA. Show all posts
VURUGU ZA LINDI: NYUMBA 15 ZA VIONGOZI WA CCM ZIMECHOMWA NA MIFUGO YAO IMEKATWA MAPANGA NA WANANCHI
Nyumba
zaidi ya saba za kuishi na nane za maduka pamoja na mifugo; vyote
vikimilikiwa na viongozi wa CCM, akiwamo mbunge na madiwani wilayani
Liwale, vimeteketezwa kwa moto na kuharibiwa na wahalifu.
Mali hizo zikiwamo za viongozi wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Ilulu, Liwale, vimeteketezwa kwa kilichdaiwa kuwa ni kupinga kulipwa malipo kidogo ya korosho, msimu wa mwaka jana.
"HATUOGOPI VITISHO VYA WAASI WA M23....NI LAZIMA TUPELEKE JESHI DRC"....WAZIRI MEMBE
Waasi
wa M23 wakiondoka toka milimani tarehe 30 Novemba, 2012, baada ya
kuondoka kijiji cha Karuba cha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo. [Na Phil Moore/AFP]
UPELELEZI WA KESI YA VITENDO VYA KIGAIDI VYA LWAKATARE WAKAMILIKA
Subscribe to:
Posts (Atom)






