Showing posts with label MAGAZETI. Show all posts
Showing posts with label MAGAZETI. Show all posts
SHEIKH PONDA AONDOLEWA HOSPITALI NA KUPELEKWA GEREZA LA SEGEREA.....WAKILI WAKE ALAANI TUKIO HILO
Wakili Nassor Jumaa anayesimamia Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda (54) ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi mpya ya kufanya uchochezi katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezungumzia kitendo cha kumhamisha mteja wake kutoka hositalini hadi Segerea.
Subscribe to:
Posts (Atom)

