KAZI YA MUNGU: SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA MTOTO MAREHEMU





God works in mysterious way
Baada ya kulea mimba yake kwa takribani miezi 9, usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya Doctor Mvungi - Kinondoni, Presenter wa Star TV anaye-run show ya Bongo Beats, Sauda Mwilima alifanikiwa kujifungua salama lakini kwa bahati mbaya the newly born child alikuwa tayari ameshafariki.

From BK: We are sorry for what happened to you sis, mwenyezi akuongoze kwenye kipindi hiki kigumu.