Timu ya Taifa yawasili Msumbiji na kuanza mazoezi

kocha kuu wa timu ya Taifa Kim Poulsen akiwa anaogea jambo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania 'TFF' Angetile Osiah mara baada ya kuwa sili Msumbiji.

Boban wakiwasili msumbiji.
Yondani akishua katika basi.
Mlinda malango wa timu ya Taifa Juma Kaseja.

Wachezaji wa Timu ya Taifa wakiwa katika mazoezi Msumbiji.
Habari picha na Saleh Ally/GPL - Maputo - Msumbiji

How to make a Website