Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Addis Ababa Ethiopia
kuhudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika jana
jioni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe.Joram
Biswaro Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.
Picha na Ikulu.