Walikaa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda wa mwaka mmoja na kuoana kwenye ndoa ambayo haikumaliza mwaka mmoja, ilivunjika Miaka mitatu iliyopita.
“Kwa sasa niko tayari kuoa tena manake dini yangu inanilazimisha mimi kuoa, nina mtu ambae bado sijamchumbia na kwa bahati nzuri nimebahatika kupata nae mtoto pia aliezaliwa miezi mitatu iliyopita, plan yangu ni lazima nioe maishani kwa sababu kosa la mtu mmoja haliwezi kunifanya niwaadhibu watu 100, yeye nilimuadhibu na nimeshasahau pia… wakati namuoa alikua na umri wa miaka 20 na mimi nilikua