Matukio Ya Leo Katika Viwanja Vya Maisara Baada Ya Ajali Ya Meli Jana


Baadhi ya Wageni kutoka Nchi mbalimbali wakiwa katika Viwanja vya Maisara ili kujuwa Ndugu zao na kuangalia taratibu zinazofanyika viwanjani hapo kutokana na Kuzama kwa meli ya skagit hapo jana katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.



Baadhi ya Wananchi wakiwa wamekusanyika katika Viwanja vya Maisara ili kuweza kupata taarifa ya Ndugu zao waliokuwa katika Meli ya Skagit ambayo imepata Ajali ya Kuzama katika Eneo la karibu na Kisiwa cha Chumbe Zanzibar.
 

Baadhi ya Maiti zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.
               PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.