

Siku ya tukio Ferdinand akizozana na Terry.

| Terry akitoka mahakani hapo ambapo shauri hilo litasikilizwa kwa muda wa siku tano ambapo kama akikutwa na hatia atatozwa faini ya paundi 2,500. |

Terry akiwa amezungukwa na polisi.
Nje ya mahakama hiyo wanahabari wakiwa katika hekaheka.