MESSI, ETO'O, PIQUE, PUYOL, FABREGAS WAHUDHURIA KWENYE NDOA YA ANDRES INIESTA - HUKU WACHEZAJI WA REAL MADRID WAKIMTOSA

Done deal: Iniesta got married just a week after winning Euro 2012

Mwanasoka bora wa michuano ya Euro 2012 - kiungo wa timu ya taifa ya Spain na Barcelona Andres Iniesta jana alifunga ndoa na mchumba wa siku nyingi kwenye sherehe ya ndoa hiyo iliyofanyika huko Barcelona Spain. Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi akiwemo Samuel Eto'o, Gerad Pique, Cares Puyol, Cesc Fabregas, Victor Valdes, na wengine huku - wachezaji wenzake Iniesta wa timu ya taifa wanaotoka klabu ya Real Madrid wakimtosa Iniesta kwa kutohudhuria sherehe hizo.
Done deal: Iniesta got married just a week after winning Euro 2012

Special guests: Lionel Messi (left) and Samuel Eto'o (right) were present
Special guests: Lionel Messi (left) and Samuel Eto'o (right) were present
Special guests: Lionel Messi (left) and Samuel Eto'o (right) were present
Special guests: Lionel Messi (left) and Samuel Eto'o

Bwana mkubwa Lionel Messi akiwa mchumba kumpa tafu rafiki yao Iniesta

Kipa wa Barcelona akiwa na demu wake kwenye harusi ya Iniesta
Pedro Pedritooooooo na mchuchu wake.
Andres Iniesta akiwa mama yake mzazi

Safu ya Ulinzi ya Barca ilikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa