NMB Yachangia Sh10m Waathirika Wa MV Skagit

Maafisa wa Benki ya NMB tawi la Zanzibar wakibeba vifaa 

Mkurugenzi Mkuu wa Kamati ya Maafa Zanzibar, Bw. Ali Juma Hamad (Kushoto), akipokea sehemu ya msaada kutoka kwa Meneja wa Tawi wa Benki ya NMB Zanzibar, Bw. Mluku Abdallah Maggid, kisiwani Unguja .Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni 10/- ni maalum kufuatia maafa ya ajali ya MV Skagit iliyotokea Julai 18, mwaka huu.