VITA YA PICHA ZA UTUPU: SINTAH AMWAGA MVUA YA MATUSI KWA NAY WA MITEGO

Nay wa Mitego   ni  miongoni  mwa watanzania   ambao   wanapinga   vikali   maovu  yanayofanyika   ndani   ya   sanaa   ya   hapa   nchini.
Inasikitisha   sana  kuona kuwa watu  wamegeuza sanaa  kuwa uwanja  wa  ngono.......Kwa   nini  msiungane   na  Makahaba   wengine  ili  tuwajue?
Ney kaongea  ukweli mtupu kuhusu   wasanii   wa bongo movie   kuwa    "MAKAHABA WAKUBWA   HAPA   NCHINI   WAPO  BONGO MOVIE",.........
Kama kuna  anayebisha, basi tutamthibitishia  kwa vitendo
HAYA NDO  MATUSI  YA  SINTAH  KWA NEY  ALIYOYAANDIKA   KATIKA WEBSITE  YAKE.  YA  SINTAH.COM .MAONI   YENU   TAFADHARI....
kumbe hata facebook hayupo bado yupo kwenye analogy  anataka kuja digital na umekuja sasa

beautiful sintah,nothing but confidence,,jeshi la mtu mmoja, mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe

hivi wa wapi weweee,mbona husomeki weweee,tume google hupatikani wewe,shukurani kwa mdogo wako alietuletea picha yako ya beach, sijui nani sijui nay utaweza??

jipange,namuonea huruma mama yako kuzaa kiumbe kilichoharibikiwa, nina jaribu ku google naona neyo wa Us sasa nisaidie nitupie kwa mnyamani au kiembe mbuzi niambieeee ili nikupate my brodaaaaa you have just tickled a private part of a tiger,,, you wanted promo now you gotta maza vitumbua 

NEY WA KUJITEGA MWENYEWE MAANA UNA CHASTE  MBU SIJUI UTAMTEGA NANI, KAMA UNA SHIDA NA MIMI DJ DJ DJ AND MY BRODAA CHOKA ANAJUA NINAPOEGESHA MILONJO YANGU  SASA KAMA UNATAKA KUIKATA KAMA ULIVYOWAMBIA WATU WAKO BBM(MAANA HU HUNA HADHI YA KUKAA KTK MY BBM LIST) MWAMBIE AKULETE 

MDOMO HUPONZA KICHWA NA UMEJIPONZA
LOVES LEO NIMEWAFUNGULIA COMMENT MTU AKIGUSWA ATAJIJUA MAANA NIMECHOKA KUONEA WATU HURUMA KAMA NOMA NA IWE NOMA
NEY NIMESHAMPA RUHUSA MLINZI AKURUHUSU UINGIE SWALI ANAKUJUA??? JIPANGE ULIPOCHOKOZA SIPO KABISA

UNSTOPPABLE NOTHING BUT CONFIDENCE
MSICHANA AMBAYE ANA TWO SIDES (COOPERATE FIGURE NA ACTRESS)

OOH SORRY USIJE MCHANA NITAKUWA SERENA NINA APPOINTMENT NA WORLD BANK CREW CONCERNING MY LAUNCH  

SINA SHIDA NA  MTU ILA UKINIANZA HUWA NAMALIZA  SHIDA ZAKO 

cc to naxylady upo kwenye cue usitafute maarufu maana umaarufu hauji kwa njia za panya
from
Unstoppable
MA International Relations & Diplomacy