50 CENT ATAJA MBINU TANO ZA KUKUFANYA UACHE KUPIGA PUNYETO


Masturbation, ni kitu ambacho watu wengi hufanya kwa siri kujiridhisha pindi wawapo na hamu ya kufanya kale kamchezo kama Diamond anavyokaita! 

Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. It’s a dirty secret!

Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.

Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.