Rapper Wiz Khalifa na his
girlfriend Amber Rose wamefanya interview na XXL Magazine na kuzisema
sentensi kibao kuhusu mapenzi yao na matarajio ya mtoto wao wa kwanza
toka wameingia mapenzini.Amber bado ameendelea kusema yale
anayosema mara nyingi, jinsi Wiz Khalifa alivyo mwanaume wa tofauti na
asiechuja kwenye mapenzi mazito, ambapo Wiz pia amezidi kumsifia Amber
ambapo amefanya uamuzi wa kuirekodi album yake mpya akiwa nyumbani ili
apate time zaidi ya kuwa karibu na mtoto wao.