DIAMOND AFUNGUKA TENA: "HUU NDO UKWELI WA MAHUSIANO YANGU MIMI NA WEMA SEPETU"

 Huu ndo ujumbe  alioutoa  msanii Diamond:
"Najua watu  wengi  sana  mnapenda  couple hii na  furaha  yenu ni kutuona wawili  sisi  tukiwa  kwenye  mahusiano ya kimapenzi......na mmekuwa  mkifurahi   sana  na  stori  za  hapa  na pale mkisikia  wawili  sisi  tumekuwa  pamoja  na  hata pindi mkituona tuko pamoja pia mmekuwa  mkishangilia  na kufurahi.........

But ukweli  ni kwamba mimi na wema si wapenzi.Tumekuwa  ni  dada  na kaka  ama marafiki tu wakawaida  ambao  tumekuwa tukishirikiana  katika kazi mbali mbali  za  sanaa na nje ya  sanaa  katika harakati  za kujenga taifa  letu.......

Pia  ni  vizuri  ningepnda  mfahamu kwamba wema  ana mpenzi wake ambaye amfahamu na  tunaheshimiana kama mtu na shemeji  yake......So  das' de truth abt  me  and her....and get  read  kwa  kazi tofautitofauti   ambazo soon zitadondoka"......Diamond