MKANDA MWINGINE WA NGONO WA KANYE WEST WANASWA....KIM K ABAKI MDOMO WAZI


Najua umeshasikia mengi sana kuhusu wasanii wakubwa na utengenezaji wa mikanda ya ngono  maarufu kama ‘X’, na scandal hiyo hiyo imemhusu sana Boss wa G.O.O.D Music 
Kanye West katika siku za hivi karibuni ilipowekwa wazi movie ya ngono iliyomuonesha akiwa na mwanamke anaefanana na Kim K ambae alikuwa his dream girl na sasa yuko nae.

Sasa ambacho ulikuwa hujakisikia ni kwamba mkanda mwingine wa ngono wa mkali huyo umeonekana na unauzwa kwa kasi japo una muda mchache tangu uvuje.

Kwa mujibu wa TMZ mkanda huu wa pili ni mrefu zaidi ya ule wa kwanza kwa sababu huu una dakika zaidi ya 40 ukilinganishwa na ule wa kwanza wenye dakika 20 ambao alicheza na mwanamke aliyedai kuwa na umri zaidi ya miaka 18 na akamwambia Kanye kuwa “ my husband and I don’t have sex anymore…that’s why I’m here”.

Katika hali isiyo ya kawaida Kim Kadarshian hii haimpi presha kiivo kitu kilichopelekea wachambuzi wa scandal kutoa report kuwa sababu kubwa ya kutojali kiivo ni kwa sababu wanatengeneza millions of dollars kupitia hizi muvi, na wengine kusema kuwa labda hizi tapes zitakuwa zilirekodiwa zamani wakati Kanye na Kim K bado hawana uhusiano.

Hata hivyo hata Kim K pia alishafanya movie ya ngono akiwa na ex boyfriend wake, na Kanye West aliisifia hata kwenye verse zake, na ililiripotiwa kuwa Kanye alivutiwa sana na hiyo muvi ya Kim K hadi akawa anaiwatch wakati anafanya mapenzi na wanawake wengine.

Nadhani mkwanja mrefu unaopatikana kwenye movie za ngono ndio sababu inayofanya hata rappers wengine kama Tyga kujiunga kwenye huu ulimwengu wa kushot video za ngono kwa kasi zaidi, na kama report za hivi karibuni zilivyosema hata rapper mkongwe Mystical naye ametangaza kuwa muziki ukimshinda basi Movie za ngono ndiyo ‘plan B’ yake.

Kwa upande mwingine mwanasheria wa Kanye West Lisa M. Bukley kupitia legal document aliyoituma kwenye mtandao wa allhihop.com alionya vyombo vya habari mbalimbali kuitumia video hiyo  ya Kanye West kibiashara katika kutangaza matangazo ya vitu mbalimbali, na kuionesha kwenye public kuwa kunaweza kuwa na serious legal percussion kwa sababu hiyo muvi iliibwa kwenye computer ya Kanye West na kuionesha makusudi ni kuvunja haki ya mteja wake ‘rights of privacy and publicity’.