Mtangazaji wa DTV anayejulikana kama Penniel Mungilwa ama Vj Penny amabye ni mpenzi wa mwanamziki Diamond plutnumz hivi karibuni Vj Penny ambapo hiv karibuni Diamond alianzisha uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu Irene Uwoya.....
Sasa baada ya story kuvuma mpenzi wake amabe ni Vj Penny amezungumza kwa ufupi kuwa wameshayazungumza na Diamond na wako vizuri kwa sasa lakini akasisitiza kuwa asingependa kuliongelea zaidi suala hilo.