WEMA SEPETU;DIAMOND ANATAFUTA KICK KWANGU ASINIFUATILIE NAFURAHI MAISHA NINAYOISHI SASA,SOMA HAPA STORY NZIMA.




Mwanadada WEMA SEPETU amesema hakuna star kama yeye Tanzania,ameyasema hayo leo katika kipindi cha uhead clouds fm na sudy brown baada ya kupigiwa simu na kuhulizwa kuhusu simu aliyompigia DIAMOND PLATNUMA inayosemekana alikuwa anabembeleza PENZI kwa mnyama DIAMOND PLATNUM na kumpa PENNY kuongea na WEMA SEPETU.
 WEMA alisema diamond anatafuta kick kama hana kick asipende kumfatilia yeye kwani yeye anafurahia maisha anayoyaishi sasa. alivyopigiwa simu DIAMOND PLATNUM nae alisema ni kweli wema alimpigia simu usiku huo na akampa simu demu wake aongee