JACKLINE WOLPER: SITUMII KUNGUMANGA JAMANI HAYA NI MACHO YANGU HALISI.


 

No doubt that Jackline Wolper is one of the most sexiest actresses in Swahiliwood hasa macho yake yakiwavutia fans wake wengi, hata hivyo baadhi ya watu wamekuwa wakidai kuwa Wolper anakula kungumanga ambazo zinadaiwa kutumiwa na baadhi ya wanawake wa mjini ili wawe na macho yenye mvuto, hivyo Wolper pia anazila ili macho yake yalegee na kuwa na mvuto wa kimahaba zaidi, huku wengine wakidai kuwa ni macho yake halisi lakini huwa anayarembua na kuyalegeza kusudi ili aonekano ana mvuto zaidi. kama kawaida Swahiliworldplanet ilimtafuta Wolper anayetamba sokoni sasa na films kama Mr. Nobody, Curse of Marriage na nyingnezo na kumuuliza kuhusu issue ya kula kungumanga ili awe na sexy eyes, Wolper alisema kuwa siyo kweli kuwa anakula kungumanga ili awe na sexy eyes bali ndivyo alivyo na hata wadogo zake na aunt yake wako hivyo hivyo na wamerithi kutoka katika familia yao upande wa kiume. alisema "hapana ni macho yangu kwani hata wadogo zangu na ma aunt wapo hivyo hivyo kwa kifupi ni my family upande wa kiume wapo hivyo". Angalia hapo chini picha za macho ya Wolper anayodaiwa kuyalia kungumanga..........