PICHA: MWANAMKE AMSHUSHIA KICHAPO CHA NGUVU MUMEWE ALIYEKUWA BAR.


 

Mwanamke ashusha kipigo kwa mwanaume aliyedaiwa kuwa ni mme wake Bar, kwa madai ya kutoonekana nyumbani! Tukio hilo lililtokea eneo la Corner Bar Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
 
Wakazi wa Dar es Salaam wakishuhudia tukio hilo.
 
Mwanamke akishusha pumzi baada ya kupunguza hasira zake 
 
Akitafakari baada ya kumpiga mwanaume huyo. 
 
Baada ya kupigwa na mwananke anayesadikiwa kuwa mpenzi wake
 
Mwanamke huyo akimhoji mwanaume huyo kabla ya kumaliza ugomvi 
 
 Mwanume akimkumbatia kumtuliza huku akilia