KILA MWANAUME ANAYELALA NA MIMI HARUDI TENA.....HATA SIMU ZANGU HAPOKEI




Mimi  ni  mwanamke.Naomba msaada wa  mawazo  maana  sijui nina nini mimi...
Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei

Hapo ndo linapoanzia tatizo na  kunifanya nijisikie vibaya...Saivi  hata mtaani nachagua kwa kupita...


Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi na MAMBO  yangu ni kubwa kiasi kwamba ha piz hadi amfikirie mpenzi wake wa zamani...

Jamani naomba msaada nifanyaje mie. Je kuna dawa ya kupunguza haya maji na kuifanya hii MAMBO  iwe  ndogo?