sasahivi hajawai fika tena lakini akiingia uwanjani anaweza ata kukesha tatizo ni hilo hafiki mwisho, amemuuliza kwanini anasema nayeye hajui kwanini, nimeona niwaletee nyinyi wana JF mabingwa wa TIBA ya kila tatizo, maana mdogo wangu amekosa amani ameshaanza kuona ata weza pata mtoto