Jamani mnisadieni mwenzenu huwa ninatabia ambayo
kiukweli mimi binafsi siipendi, huwa ninatabia ya kufanya mchezo wa kuigiza
tunatiana na mpenzi wangu, huku mimi nikipga puri(besheni0 na yeye akiishia
kujipiga madole sasa hii tabia naona inakuwa kero kwangu kila siku lazima
tufanye mpenzi wangu yupo mbali na mimi na pia huwa nikiwatongoza wasichana
wengine huwa nawauliza kama huwa wanajua kufanya sex phone mara ya kwanza
wanasema hawajui ila tukiaanza kufanya wanasema walikuwa wanafanya ata kabla ya
hapo,
Kwa mpenzi wangu anapenda sana hii tabia huwa
ananishukru na kunisifu kuwa najua sana mapenzi, sasa issue ni kwamba kiukweli
utendaji wangu katika tukio lenyewe naona kama hauko timamu sana kama mwanzo
sasa natafuta jinsi ya kuacha maana hii tabia inanikwaza huwa nikimaliza
kufanya huwa najutia sana haya maamuzi sasa mwaka wa 8 sasa nina miaka 27.
nisadieini mwenzenu lakini pia naona wadada wengi wanapendelea sijui ni mimi tu
au ata watu wengine wanafanya hivyo ingawa ata kama mdada hajakukubalia mkaduu huu
mchezo umekuwa unanifanya nawanasa sana mabinti ata kama ni mgumu wa kutoa
mchezo ila sasa unanifanya nimcheat my love na kumkosea mungu muda mwingi!