POLISI MKOANI DODOMA WAWASHIKILIA WATU SITA KWA VITENDO VYA USHIRIKINA.



Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu sita ambao wanajishughulisha na vitendo vya ushirikina  kwa kujifanya wanaagua na kufichua watu wachawi katika vijiji mbalimbali.Wanadai kuwa wanafichua watu wanaozuia mvua isinyeshe katika maeneo mbalimbali hapa Dodoma.Watuhumiwa hao hufaamika hapa Dodoma kwa jina maarufu LAMBALAMBA.Watuhumiwa katika kijiji cha MBALAWALA.
Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma DAVID Misime akielezea ukamatwajihuo na kuonesha tunguli walizokuwa wanatumia.