Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbalawa,
akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya
Simu za mkononi Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya Ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma, muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo
kwa mwaka 2012/13
Naibu
Waziri Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kushoto)
akiwa na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Innocent
Mungy nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, muda mfupi baada ya
kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
Naibu
Waziri, Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba
akipongezwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya
Simu za mkononi Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya Ukumbi wa
Bunge mjini Dodoma muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara
hiyo kwa mwaka 2012/13