Majaji wa EBSS
- Master J, Madam Rita na Salama J wakipozi kwa camera wakati wa
kufanyika kwa auditions za kutafuta superstar atakayewakilisha Lindi
kwenye Epiq Bongo Star Search 2012.
Master J akiwa makini kumsikiliza mshiriki wa auditions za EBBS Lindi.
Anajaribu bahati yake - mshiriki akicharaza gitaa
Wananchi wa mkoa wa Lindi walijitokeza wengi kuja kushiriki katika EBSS 2012. |