VODACOM YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WABUNGE JUU YA HUDUMA ZAKE

Meneja Mahusiano ya Nje wa Vodacom Bw Salum Mwalim akiwaelezea wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoka kushoto Abbas Mtemvu (Temeke),David Silinde (Mbozi Magharibi) na Mussa Azan (Ilala) faida za kujiunga na huduma za mkataba za kampuni hiyo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.