JK: Kuhudhuria Mazishi Ya Aliyekuwa Rais Wa Ghana John Evans Atta Mills Leo


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa  jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa leo Ijumaa Agosti 10, 2012.

                                                        PICHA NA IKULU