Mwanamuziki
aliyejiunga na Twanga Pepeta akitokea bendi ya Mapacha Watatu, Kalala
Junior akiimba nyimbo yake mpya Nyumbani ni Nyumbani wakati wa mkutano wa kumtambulisha kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kiongozi wa bendi hiyo, Saleh Kupaza.
Kalala
Junior (kushoto), akiimba sambamba na Kiongozi wa Bendi hiyo, Saleh
Kupaza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam
jana
Mwanamuziki
aliyejiunga na Twanga Pepeta akitokea bendi ya Mapacha Watatu, Kalala
Junior (wa pili kushoto) akiwaongoza wanenguaji wa bendi hiyo wakati wa
mkutano wa kumtambulisha kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam