Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Sophia M. Simba (Mb)
akisikiliza utenzi kutoka kwa watoto yatima wa Kituo cha Hisani kilicho
Majimatitu Mbagara, jijini Dar es salaam siku ya Eid pili.
Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia M. Simba (Mb)
akimkabidhi Genevive Mlawa Meneja Muhuguzi zawadi za mkono wa Eid kwa
niaba ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es
salaam siku ya Eid pili. Chanzo: www.fullshangweblog.com