YANGA YAPELEKA KOMBE LA KAGAME BUNGENI DODOMA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu
ya Yanga ambao walipeleka Kombe la Michuoano Kagame Bungeni Augost 6,
2012. Kushoto kwake ni Mama Fatuma Karume mlezi wa timu hiyo ya Yanga.
Yanga ilishinda kombe hilo hivi karibuni katika michuano ya Kombe la
kagame iliyomalizika jijini Dar es Salaam.