Mhe.
Waziri MKuu akitoa maelezo baada ya kusikiliza maelezo kutoka kwa
mtaalamu anaendesha mafunzo maalam ya ufugaji nyuki yanaqyotolewa ndani
ya banda la Wizara ya Maliasili na Utalii.
Mhe.
Waziri MKuu akiangalia sampuli za asali kutoka kwa moja ya wadau wa
bidhaa za Nyuki wanaoshiriki maonyesho ya nane nane ndani ya banda la
wizara ya Maliasili na Utalii.
Mhe.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Waziri Maliasili na
Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu baada ya kuwasili katika banda la Wizara
katika maonyesho ya Wakulima ya Nanenane kitaifa yanayoendelea mkoani,
Dodoma. Wazir Mkuu Mhe. Mizengo Pinda atembelea maonyesho ya Nyuki
katika Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii , katika viwanja vya
Nzuguni, Dodoma.