
Loveness aka Diva wa Clouds FM juzi aliandika barua yake ya mwezi kwenye website yake na kudai kuwa hanaga urafiki na wasichana wenzie. Isome hapa ujue kwanini:
Nimeona niandike hii kwanza labda itasaidia sana mambo ya wasichana kutaka sana urafiki na mimi.
Guys
me sipendi urafiki kabisa na watoto wa kike , had a friend once ilini
cost sana nilipotofautiana naye na because nilimuamini sana niliumia ,
that was high school , then from there on sitaki sana marafiki kusema
za ukweli....sio mtu wa marafiki wala mtu wa mazoea ya ovyoovyo na wala siringi but sipendi tu najua matatizo yake hasa kwa watoto wa kike!!
I
always miss my high school friends, they were dope yaani compared na
ambao nakutana nao hivi karibuni , na kuhusu kuchagua marafiki nachagua
sana wa kiume, this is not a joke but napatana sana na Soudy Brown
gossipcpotz ,licha ya kunishauri alot about life but ni mpole ,
mstaarabu sana na ana imani ya dini kama mimi , so tunapatana sana na
nadiriki kusema thats my best friend , he actually knows good and bad ,
knows if am not ok and when am ok!! na apart from kuwa my manager but
he is good hearted , my mentor pia.
Tunapatana
sana that's why hata tulipoenda Tanga he was the only person
niliempeleka home akamsalimie my aunt and it was awesome and good sana.
he such a friend like i never had.
Girls got issues sana ambazo to me siwezi kabisa kukaa na hizo issues zao ,wengi wanapenda umbea ,kuongea vitu visivyowahusu, kusingizia mambo ya ajabu coz me yaani nina attitude basi
i have to stay away kabisa sehemu penye wasichana hasa ambao wana
tabia za kike ,ambao masaa24 wanazungumzia wanaume na jinsi ya
kuwachuna , wanaokaa kusema wenzao coz na mimi nikitoka watanisema asa mi nikae nao wanini si bora nikae na simu yangu busy na twitter.
Nahisi
mind za wanaume ziko active compared na wasichana wengi wa mjini
.kiukweli sihitaji marafiki................nahitaji marafiki wachache
tena wa kiume wataoniambia which is good , which is bad. Am proud kujuana na Soudy Brown,B12,Baba Johny,Dommy,Faraja,Venture, Peter Mo and the rest feel safe around hawa my brothers.
God
is good ..................kuwa my fan , be that and pliz endelea kuwa
hivyo na will make u happy in my show but nje ya hapo , my life is
different , very strictly and ku avoid that am always at home after work
and sina rafiki celebrity wa kike sina kabisa ukweli ndo huo.
And am totally avoiding girls sio wote lakini wenye drama wachache wa kike ninaojuana nao wa kike wananitosha LOL
MONTHLY LETTER TO MY FANS
THANK U
Yours,
Lovely Diva.