DIAMOND NA WEMA SEPETU SASA NDANI YA FILAMU MOJA YA "CROSS OF LOVE"

Kwa mujibu  wa  chanzo chetu,  Movie hiyo  imeandaliwa na  kuandikwa na Seles Mapunda  ambaye ndo director  mkuu wa "Cross of  Love" na kwamba maandalizi  yanaendelea vizuri

"Maandalizi ya  filamu hiyo yapo katika hatua  za mwisho kabisa na imebaki kazi ya  casting  ya washiriki  15  tu"...kilitonya chanzo chetu


Hii ni  nafasi ya  nyingine kwa  Diamond kukuza  kipaji chake