PICHA NUSU UCHI ZINAZOONESHA MATITI YA MSANII RAYUU ZASAMBAA TENA
WIKI kadhaa zimepita baada ya picha za msanii Rayuu
zilizokuwa zinaonesha tattoo kuvuja mitandaoni, safari hii hali imekuwa
mbaya zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha matiti yake zimenaswa na mtandao huu na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisamabaza.
Katika utetezi wake ,Rayuu
amedai kuwa
hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajua
ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana nia
mbaya ya kumchafua. .
“Jamani mimi sieliwi hizo picha zinatoka kwa nani, najua ndiyo
kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani
anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini
sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni,”
alisema kwa hasira