HII NI PICHA YAKE ILIYO EDITIWA NA WATU NA KSAMBAZWA FACEBOOK
Iko haja ya wasani wetu pamoja na
watu wengine kuwa makini sana na upigaji wa picha za nusu uchi kwa
sababu ni rahisi sana kwa watu wenye ujuzi kuzi edit hizo
picha.....
Sote tunakumbuka kuwa wakati wa fiesta ya mwaka huu ,diamond na kundi lake walivua nguo na kubakiza boksa tu....
Nadhani lengo lao lilikuwa ni kukuza
jina.Bahati mbaya sana lengo hilo halikutimia na badala yake jamii
iliwashangaa na kuwachukulia vibaya.......
Mshangao huo haukuishia hapo.watu
wasio na kazi nao wamekuja na lao jipya baada ya kuziedit picha hizo
na kuzisambaza mitandaoni hasa facebook na twitter.....
Wakati napekua, nilisituka sana kukutana
na hiyo picha ikiwa katika ukurasa mmoja wa facebook.Badilikeni
wasanii wetu.......mambo mengine mnajitakia wenyewe..
HII NI PICHA YAKE ORIGINAL AMBAYO ILITOLEWA KATIKA MAGAZETI
PICHA NIMEIKUTA HAPA: << PICHA YAKE>>