Hongera Kwa Mwamuziki Crazy GK na Mtangazaji Fetty Kwa Kupata Degree ya Kwanza
Dj Fetty
Crazy Gk Akiwa na Ay na Mwana FA
Dj fetty na Mwana Fa pamoja na AY
Mwanamuziki Crazy Gk na Dj Fetty Kutoka Clouds Fm wamefanikiwa Kumaliza
chuo na Kupata Degree ya kwanza Pale Chuo cha Tumaini ..Hongera sana
kwao.. Natumaini watakuwa ni mfano kwa Wasanii Wengine kuweza kupata
Elimu..Big Up