RIHANA AJIANIKA AKIWA MTUPU

Kwa kawaida jarida lenye title ‘Men of the Year’ lingekuwa na picha ya mwanaume wa shoka akiwa katika pozi lake, lakini picha ya Queen Rihanna akiwa mtupu inaonekana kuvuka hii mipaka ya mawazo ya kijinsia kulipamba jarada la jarida hilo kwa pozi la kichokozi.



Katika hiyo picha RiRi anaonekana akiwa amepozi akiwa amevaa leather jacket kwa juu na kuacha sehemu nyingine zote bila pamba ya aina yoyote huku mkono wake ukipoz ‘somewhere.


Kwa kuwa katika hiyo page ya juu ya jarida hilo la ‘Men of The Year’ ‘the Diamond singer’ amesababisha liongezewe sentensi kwenye mabano na kusomeka ‘Man of the Year (And One Hot Woman), na the R&B singer anaonekana kuwapa kampani wanaume wa mwaka Channing Tatu,, Ben Affleck, Quentin Tarantino na Usain Bolt.

Rihanna & Kate Moss 
Rihanna hivi karibuni ameng’arisha majarida kadhaa kwa picha zake za utupu ambapo zilionekana kwenye ‘V Magazine’, akiwa amepozi na super model Kate Moss wote wakiwa watupu katika picha kadhaa.

Japokuwa RiRi anaonekana kupiga picha za utupu katika matukio kibao lakini mwaka 2010 mwanadada huyo alisema hatopiga picha hizo. “nimepata offer kufanya Playboy actually. Walitaka kunilipa nitokee mtupu kwenye cover.” Alisema Rihanna a good girl by then, “kama ntavua nguo zangu, it has to be in a classy way na uamuzi wangu, not a check. Na sitachukua pesa yeyote kwa ajili ya hilo.”