Serikali Imefanikiwa Kudhibiti Maandamano Ya Wafuasi Wa Sheikh Ponda
Baadhi ya askari wa kutuliza ghasia wakiwa wamekaa tu baada ya kuwa hawana cha kufanya kwani maandamano hayakuwepo.
Mitaani Kariakoo leo hadi sasa saa kumi,shughuli zinaendelea kama kawaida
Askari wakipiga soga kwenye gari lao lililopaki.
Kulikuwa
na jaribio la kuandamana baada ya swala hapa kariakoo,lakini limezimwa
bila kusababisha taharuki kubwa,baadhi ya watu wamekamatwa na bado
wanashikiliwa.kwa sasa hali ni shwari.