VIDEO YA MWANAMKE ALIYETINGA MAHAKAMANI AKIWA UCHI WA MNYAMA.....


Balaa hili limemkumba  binti mmoja ambaye aliuacha hoi umati wa watu pale alipoweka maumbile yake hadharani mbele ya JAJI mwendesha kesi.......

Na alipoulizwa sababu ya kufanya hivyo na JAJI huyo,binti huyo  alisema kuwa haoni cha ajabu  maana miili  yao ni zawadi toka kwa  muumba wao:  

 "Ulishawahi kuona mtoto analia akiona mtu yupo uchi? HAPANA ila badala yake watacheka na kufurahi, kwa hiyo miili yetu ni zawadi yuliyopewa na mwenyezi MUNGU ili tuwafurahishe na watu wengine" Alisema mwanadada huyo aambaye alionekana kama mtu aliyerukwa na akili......
  
Polisi walinda usalama waliokuwepo karibu walimchukua haraka haraka na kumwondosha nje ya mahakama hiyo  ili kuepusha aibu hiyo.

VIDEO KAMILI YA TUKIO HILO NI HII HAPA:

Credit : Gumzo la  jiji