Meneja
wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu,Benadicta Byabato (kushoto)
akimkabidhi mshindi wa Shindano la Maisha Plus Seasons 3,Bernick Kimiro
kitita cha Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano
hilo lililomalizika juma lililolipita jijini Dar es Salaam.
Bernick
Kimiro akifungua akaunti katika Benki ya NMB huku kaka yake Abdulazizi
Abasi (kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo wakifuatilia kwa
makini.
Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro.