Kijana
ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja kutokana na hali
aliyoionyesha akiwa anaongea kwa lugha ambayo haieleweki na huku akilia
kwa sauti hadi kupelekea watu kujazana na kutaka kujua anachofanya
mbele ya gari hilo huku biblia ikionekana kwa karibu.
Hapa
sasa Chanzo cha Yeye Kulia na Kunena kwa lugha kama walokole
wanavyofanya kikajulikana huku alipodai kuwa kwenye gari hilo kuna
majini ndio maana ameamua kuliombea ili watoke.
Mchungaji
Jina akilia kama huku akiwa anatoa maneno yasiyoeleweka kwa kujifanya
yeye ni mchungaji na hapo akiombea gari hilo analodai kuwa lina mapepo
Baadhi
ya wakazi wa eneo la Mtaa wa Msimbazi wakiwa wamejitokeza kwa wingi
kumshangaa kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja
baada ya kujifanya mchungaji huku akidai kuwa gari hilo mbele yake
lina mapepo na ndio maana ameamua kuliombea hili yaweze kutoka. hayo
yote yametokea jana jioni kwenye Mtaa wa Msimbazi karibu na Kituo cha
Daladala cha Mbezi.