LOVENESS LOVE ''DIVA'' AJUTA KUGAWA PENZI KWA MO RACKA
Diva
alhamisi iliyopita alifunguka kuhusu kosa kubwa alilolifanya katika
maisha yake tangu azaliwe. Na alichosema kajuta ni kua na uhusiano wa
kimapenzi na msanii Mo Racka. Hiki ndicho alichokiandika Twitter jana
usiku