KATIKATI NI STRIKER MOSE BENGER KABLA YA KUANZA MECHI
KIKOSI HCA BSc HEALTH INFORMATION SYSTEMS
Hilikuwa ni mechi ya kukata na shoka kati ya maasimu wakubwa wa mwaka wa tatu wa Course ya Bsc Informations Systems (Bsc IS) na Bsc Health Information Systems(Bsc HIS) kutoka College of Informatics and Virtual Educatication(CIVE).Mechi hiyo imechezwa jioni hii katika viwanja vya college ya Social Science, adi mwisho mechi hiyo imekwisha kwa kutoka dro ya kufungana doli moja moja
Vijana wa Bsc IS ndiyo walianza kupata Goli lililo fungwa na striker machachali MOSE MBENGA, na kipindi cha pili mshambuliaji machachali toka HIS MWINYI aliwasawazishia HIS adi mwisho akupatikana mbabe kati ya maasimu hao
KUTOKA KUSHOTO NI ABUU, FRANK WAKIWA NA TIMU MENEJA WA HEALTH INFORMATION SYSTEM
STRIKER MOSE AKIELEKEA UWANJANI
MBELE NI CR WA INFORMATION SYSTEMS HUSSEIN ADEN AKIELEKEA UWANJANI
TIMU ZIKIELEKEA UWANJANI
CHAKI AKITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WA INFORMATION SYSTEM
CASMIR AKIMKABA ABULI
MARTIN AKITOA MAELEZO KWA STRIKER MOSE
BUSAGAGA TIME CAPTAIN WA INFOMATION SYSTEMS AKITOA MAELEZO KWA WACHEZAJI WENZAKE
BEKI MACHACHALI ALPHONCE AKIOKOA MPIRA ENEO LA HATARI
| |
WENCER KIMARO ALIKUWA MAN OF THE MECHI
MSHAMU NA CHALI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
KIKOSI BSc HEALTH INFORMATION SYSTEMS
STRIKER MBAGA AKITOA PASI KWA STRIKER MOSE
Striker JOSE MAPEPELE
Striker wa HIS
SWAI AKISHANGILIA GOLI
KIKOSI CHA BSc INFORMATION SYSTEMS
WACHEZAJI WA BSc INFORMATION STSTEMS
NYAMALUNGU, MSHAMU NA CHALI KATIKA VIWANJA VYA MPIRA COLLEGE OF SOCIAL SCIENCE DODOMA UNIVERSITY
STRIKER JULIUS TOKA BSc HIS
ABUU KULIA NA FRANK WAKAWA KATIKA PICHA YA PAMOJA