ALICHOKISEMA WASTARA KUHUSU SAJUKI BAADA YA KUFIKA INDIA

Dina Marios wa Leo Tena ya CLOUDS FM.
Baada ya kufika India anakokwenda kutibiwa mwigizaji SAJUKI, mke wa mwigizaji huyo (Wastara) amewasiliana na Dina Marios kumfahamisha hali halisi ilivyo, hayo hapo chini ni maongezi yao

.
Wastara, siku alipokua anachangiwa pesa za matibabu ya Sajuki kwenye kipindi cha Leo Tena.