Washambuliaji
wa timu ya taifa, (Taifa Stars) Mrisho Ngassa (kulia) na Haruna Moshi
Boban wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ya Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana
kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho Jumatano.
Wachezaji
wa timu ya Taifa, Taifa Stars wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu
Julius Nyerere tayari kwa kupanda ndege kwenda Gaborone, Botswana kwa
ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumatano.
Nohodha
wa timu ya Taifa,Taifa Stars Juma Kasseja akiwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tayari kwa kupanda ndege kwenda
Gaborone, Botswana kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki
itakayochezwa kesho Jumatano.
Picha kwa hisani Ya Michuziblog.