Nisaidieni wana jamii,Mimi ni mwanamke namiaka 35,nimeshakuwa na mausiano
mengi tu,lakini hakuna hata mmoja aliyewahi kunifikisha,mpaka naanza
kukata tamaa ya kuwa na mpenzi wa jinsia ya kiume,nisaidieni nifanyeje?
Maana naona naelekea kubaya natamani kuwa kimapenzi na Msichana
mwenzangu nasikia mkiwa wote wasichana katika sita kwa sita ..huwa ni
rahisi kukojoa na anagusa pale penyewe....nisaidieni nifanyaje kabla
sijajiingiza katika usagaji.