RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE SOKO LA MITAJI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kengele kuashiria mwanzo wa soko katika makao makuu ya za Soko la hisa na Mitaji ya Mazao la Ethiopia jana Mei 10, 2012 alipotembelea na kuelezwa mafanikio ya soko hilo ambapo wakulima wa wakubwa na wa kawaida wanafanya biashara ya mazao kitaifa na kimataifa kwa njia ya kisasa Picha na IKULU